Jubilei ya miaka 50 ya Upadre kwa Askofu Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa

IRINGA-Leo Septemba 10, 2023 Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa, Askofu wa Jimbo Katoliki Iringa ameadhimisha Jubilei ya miaka 50 tangu alipowekwa wakfu katika Daraja Takatifu ya Upadre sanjari na Jubilei ya Miaka 125 tangu Wamisionari wa kwanza walipofika jimboni humo mnamo mwaka 1896.
Mhashamu Ngalalekumtwa aliwekwa wakfu katika Daraja hiyo Takatifu Aprili 7, 1973 na amehudumu kama Askofu wa Jimbo Katoliki Iringa tangu mwaka 1993.

Misa Takatifu imefanyika katika viwanja vya Kichangani vilivyopo pembezoni kidogo na Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu - Kihesa Jimbo Katoliki Iringa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news