Rais Dkt.Mwinyi atoa neno la shukurani AGRF 2023

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutoa neno la shukrani katika Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023, wakati wa ufungaji wa mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano ya Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Septemba 7,2023. Mkutano huo ulifungwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news