Rais Dkt.Samia akagua maboresho Uwanja wa Ndege mkoani Mtwara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Bw. Hamza Johari wakati akiwasili uwanja wa ndege wa Mtwara alipofika kufanya ukaguzi wa maboresho yanayofanyika uwanjani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea maelezo juu ya maboresho yanayofanyika uwanja wa ndege wa Mtwara alipofika kufanya ukaguzi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news