Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 8, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1786.24 na kuuzwa kwa shilingi 1803.37 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2732.56 na kuuzwa kwa shilingi 2758.65.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 8, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2440.18 na kuuzwa kwa shilingi 2464.58 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7913.15 na kuuzwa kwa shilingi 7984.51.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.86 na kuuzwa kwa shilingi 0.86.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1555.61 na kuuzwa kwa shilingi 1571.42 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3227.88 na kuuzwa kwa shilingi 3260.15.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 218.76 na kuuzwa kwa shilingi 220.89 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 127.36 na kuuzwa kwa shilingi 128.53.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 664.35 na kuuzwa kwa shilingi 670.96 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 156.59 na kuuzwa kwa shilingi 157.97.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3088.75 na kuuzwa kwa shilingi 3070.13 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.08.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.45 na kuuzwa kwa shilingi 0.46 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2608.79 na kuuzwa kwa shilingi 2635.87.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.54 na kuuzwa kwa shilingi 16.71 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 332.99 na kuuzwa kwa shilingi 336.23.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.70 na kuuzwa kwa shilingi 16.85 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.16 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 7th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 664.3556 670.9626 667.6591 08-Sep-23
2 ATS 156.5863 157.9737 157.28 08-Sep-23
3 AUD 1555.6136 1571.4162 1563.5149 08-Sep-23
4 BEF 53.4131 53.8859 53.6495 08-Sep-23
5 BIF 0.8578 0.8656 0.8617 08-Sep-23
6 BWP 176.4249 179.4214 177.9232 08-Sep-23
7 CAD 1786.2369 1803.5712 1794.904 08-Sep-23
8 CHF 2732.5624 2758.6523 2745.6074 08-Sep-23
9 CNY 332.9938 336.2319 334.6128 08-Sep-23
10 CUC 40.7397 46.3093 43.5245 08-Sep-23
11 DEM 977.753 1111.4228 1044.5879 08-Sep-23
12 DKK 349.7811 353.2283 351.5047 08-Sep-23
13 DZD 19.059 19.1741 19.1166 08-Sep-23
14 ESP 12.9501 13.0643 13.0072 08-Sep-23
15 EUR 2608.7945 2635.8683 2622.3314 08-Sep-23
16 FIM 362.3884 365.5996 363.994 08-Sep-23
17 FRF 328.4798 331.3855 329.9327 08-Sep-23
18 GBP 3038.7539 3070.1273 3054.4406 08-Sep-23
19 HKD 311.275 314.3838 312.8294 08-Sep-23
20 INR 29.3199 29.5935 29.4567 08-Sep-23
21 IQD 0.251 0.2528 0.2519 08-Sep-23
22 IRR 0.0086 0.0087 0.0087 08-Sep-23
23 ITL 1.1128 1.1227 1.1177 08-Sep-23
24 JPY 16.5447 16.709 16.6269 08-Sep-23
25 KES 16.7021 16.8461 16.7741 08-Sep-23
26 KRW 1.8238 1.8401 1.832 08-Sep-23
27 KWD 7913.1505 7984.5142 7948.8324 08-Sep-23
28 MWK 2.056 2.2367 2.1463 08-Sep-23
29 MYR 521.7401 526.6197 524.1799 08-Sep-23
30 MZM 37.9322 38.2521 38.0921 08-Sep-23
31 NAD 93.2031 94.083 93.643 08-Sep-23
32 NLG 977.753 986.4239 982.0884 08-Sep-23
33 NOK 227.4249 229.6157 228.5203 08-Sep-23
34 NZD 1433.3607 1448.6801 1441.0204 08-Sep-23
35 PKR 7.6035 8.0019 7.8027 08-Sep-23
36 QAR 833.5173 841.8919 837.7046 08-Sep-23
37 RWF 2.0303 2.0801 2.0552 08-Sep-23
38 SAR 650.5927 657.0636 653.8282 08-Sep-23
39 SDR 3227.8677 3260.1464 3244.0071 08-Sep-23
40 SEK 218.7598 220.886 219.8229 08-Sep-23
41 SGD 1786.7601 1804.4955 1795.6278 08-Sep-23
42 TRY 90.9391 91.8259 91.3825 08-Sep-23
43 UGX 0.6272 0.6581 0.6426 08-Sep-23
44 USD 2440.1782 2464.58 2452.3791 08-Sep-23
45 GOLD 4678041.2596 4725585.692 4701813.4758 08-Sep-23
46 ZAR 127.3593 128.5322 127.9458 08-Sep-23
47 ZMK 114.2086 118.632 116.4203 08-Sep-23
48 ZWD 0.4566 0.4659 0.4612 08-Sep-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news