Hizi hapa taarifa mpya kutoka OUT kuhusu makataa ya kupokea maombi ya Muhula wa Novemba 2023

Napenda kuwakumbusha waombaji wote wa masomo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kwamba Makataa ya kutuma maombi kwa muhula wa NOVEMBA 2023 ni 17/10/2023 katika ngazi za:

(a) Certificates

(b) Diplomas

(c) Foundation Program

(d) Bachelor Degrees

Tuma maombi yako kupitia www.out.ac.tz

Faharasa
Makataa maana yake ni tarehe ya mwisho ya kupokea maombi almaarufu Deadline.

WENU
Dkt. Mohamed Omary Maguo
Mhadhiri Mwandamizi na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Masoko

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news