Waziri Mkuu Majaliwa ashiriki hafla ya upandaji miti FAO jijini Rome

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiungana na viongozi wengine wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) katika halfa ya upandaji miti katika bustani ya Villa Pamphilj Entrace Largo Martin Luther King, Rome Italia, Oktoba 15, 2023. Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini Italia kumuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani litakalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe wakati wa halfa ya upandaji miti katika bustani ya Villa Pamphilj Entrace Largo Martin Luther King, Rome Italia, Oktoba 15, 2023.Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini Italia kumuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani litakalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) Dkt. Qu Dongyu wakati wa halfa ya upandaji miti katika bustani ya Villa Pamphilj Entrace Largo Martin Luther King, Rome Italia, Oktoba 15, 2023. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Italia Mahmoud Thabit Kombo. Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini Italia kumuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani litakalofanyika makao makuu ya FAO kuanzia Oktoba 16, 2023 hadi Oktoba 20, 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news