Waziri Kairuki,Hickey wajadiliana kuhusu REGROW

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kulia) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa Kimataifa wa Mazingira, Maliasili na Uchumi wa Bluu kutoka Benki ya Dunia, Valerie Hickey mara baada ya kikao cha kujadili kuhusu utekelezaji wa mradi wa REGROW na awamu ya pili, pamoja na kushirikiana katika nyanja nyingine ikiwemo biashara ya hewa ya kaboni kwenye misitu, uchumi wa bluu na kuwajengea uwezo wanawake katika mnyororo wa thamani wa mazao ya nyuki. Kikao hicho kilichohudhuriwa na baadhi ya Watendaji kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii kimefanyika leo Novemba 6, 2023 jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news