Waziri Mkuu amwakilisha Rais Dkt.Samia katika Tamasha la Kumbukumbu ya Bibi Titi

PWANI-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 03, 2023 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Tamasha ‘BibiTiti Festival’ linalofanyika katika viwanja vya Ujamaa, Ikwiriri mkoani Pwani.





Pamoja na mambo mengine Waziri Mkuu amegawa magari 22 kwa ajili ya usimamizi na ufuatiliaji wa shughuli za Afya kwenye Sekretarieti za Mikoa na Halmashauri za Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news