Zanzibar kunufaika na ufadhili wa masomo Uturuki

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Rais wa Jumuiya ya Waturuki waishio Ughaibuni, Abdullah Eren na ujumbe wake Ikulu Zanzibar tarehe 7 Desemba 2023.
Katika mazungumzo yao wamegusia ushirikiano katika Sekta ya Elimu ikiwemo ufadhili wa masomo kwa wanafunzi 50 kila mwaka kwa ngazi ya shahada, shahada ya uzamili na shahada ya uzamivu nchini Uturuki kuanzia mwakani 2024 pamoja na mafunzo kwa walimu wa vyuo vya amali na mengineyo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news