Paul Makonda amuondoa kazini Mkurugenzi Mtendaji wa Pangani

DODOMA/TANGA-Ziara ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda mkoani Tanga imemuondoa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, Isaya Mugishangwe Mbeje.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa memsimisha kazi mkurugenzi huyo kwa tuhuma za kushindwa kutelekeza majukumu yake ipasavyo na kupelekea kulegalega kwa utekelezaji miradi ya maendeleo.

Katibu Mwenezi wa CCM,Paul Makonda alipofika wilayani huml Januari 20, 2024 kufanya ziara ya chama hicho alikumbana na wananchi walioelezea changamoto mbalimbali zinazowakabili wilayani humo ikiwemo kuchelewa kukamilika kwa zahanati na vituo vya afya huku wengine wakimlalamikia mkurugenzi huyo kushindwa kuwalipa madeni yao ya zabuni waliotoa huduma kwenye halmashauri hiyo.

Kitendo kilichopelekea Paul Makonda kumshataki mkurugenzi huyo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI,Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news