HomeBaraza la Mawaziri Rais Dkt.Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Tunguu, Zanzibar tarehe 16 Januari, 2024. Tags Baraza la Mawaziri Habari Picha Picha Chaguo la Mhariri Facebook Twitter