Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Februari 13,2024

 NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 240.25 na kuuzwa kwa shilingi 242.61 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 131.91 na kuuzwa kwa shilingi 133.02.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 13, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 682.05 na kuuzwa kwa shilingi 688.81 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 160.74 na kuuzwa kwa shilingi 162.17.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.47 na kuuzwa kwa shilingi 0.48 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2694.58 na kuuzwa kwa shilingi 2725.57.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 15.90 na kuuzwa kwa shilingi 15.96 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.49.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3159.74 na kuuzwa kwa shilingi 3192.35 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 2.00.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2504.95 na kuuzwa kwa shilingi 2530 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8138.24 na kuuzwa kwa shilingi 8216.95.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1878.62 na kuuzwa kwa shilingi 1878.62 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2861.82 na kuuzwa kwa shilingi 2889.12.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1634.48 na kuuzwa kwa shilingi 1651.84 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3319.41 na kuuzwa kwa shilingi 3352.60.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today February 13th, 2024 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED682.046688.8102685.428113-Feb-24
2ATS160.7428162.167161.454913-Feb-24
3AUD1634.48021651.8371643.158613-Feb-24
4BEF54.830955.316355.073613-Feb-24
5BIF0.87510.88240.878813-Feb-24
6CAD1860.61841878.66641869.642413-Feb-24
7CHF2861.81932889.11732875.468313-Feb-24
8CNY348.2532351.6672349.960213-Feb-24
9DEM1003.70661140.92451072.315513-Feb-24
10DKK361.9348365.5224363.728613-Feb-24
11ESP13.293813.411113.352413-Feb-24
12EUR2697.58122725.5692711.575113-Feb-24
13FIM372.0077375.3041373.655913-Feb-24
14FRF337.199340.1818338.690413-Feb-24
15GBP3159.74463192.3543176.049313-Feb-24
16HKD320.3261323.5253321.925713-Feb-24
17INR30.185630.467230.326413-Feb-24
18ITL1.14231.15251.147413-Feb-24
19JPY16.81416.98116.897513-Feb-24
20KES15.904515.962215.933313-Feb-24
21KRW1.88511.90331.894213-Feb-24
22KWD8138.24078216.95358177.597113-Feb-24
23MWK1.38271.48831.435513-Feb-24
24MYR526.2501530.3983528.324213-Feb-24
25MZM38.884739.212739.048713-Feb-24
26NLG1003.70661012.60761008.157113-Feb-24
27NOK238.3715240.6887239.530113-Feb-24
28NZD1535.53461551.9021543.718313-Feb-24
29PKR8.65989.07468.867213-Feb-24
30RWF1.95812.00511.981613-Feb-24
31SAR667.9868674.6306671.308713-Feb-24
32SDR3319.41113352.60533336.008213-Feb-24
33SEK240.2508242.6067241.428713-Feb-24
34SGD1862.97081881.46061872.215713-Feb-24
35UGX0.62350.65460.63913-Feb-24
36USD2504.950425302517.475213-Feb-24
37GOLD5062229.40651138895088059.20313-Feb-24
38ZAR131.9151133.2119132.563513-Feb-24
39ZMW90.495494.05292.273713-Feb-24
40ZWD0.46880.47820.473513-Feb-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news