Makamu wa Rais awaongoza Watanzania kutoa heshima za mwisho kifo cha Lowassa


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewasili katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Februari 13,2024 ambapo anawaongoza viongozi na wananchi katika kutoa heshima za mwisho kwa Waziri Mkuu mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa. 


Matukio katika picha wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa Hayati Edward Lowassa Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 13 Februari, 2024 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news