Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Februari 9,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.47 na kuuzwa kwa shilingi 0.48 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2694.82 na kuuzwa kwa shilingi 2722.28.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 9, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 15.70 na kuuzwa kwa shilingi 15.76 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3155.99 na kuuzwa kwa shilingi 3188.56 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 2.00.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2504.95 na kuuzwa kwa shilingi 2530 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8134.28 na kuuzwa kwa shilingi 8210.29.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1857.99 na kuuzwa kwa shilingi 1876.44 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2865.75 na kuuzwa kwa shilingi 2893.08.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1626.91 na kuuzwa kwa shilingi 1643.49 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3322.21 na kuuzwa kwa shilingi 3355.44.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 239.25 na kuuzwa kwa shilingi 241.58 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 132.17 na kuuzwa kwa shilingi 133.45.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 682.03 na kuuzwa kwa shilingi 688.81 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 160.74 na kuuzwa kwa shilingi 162.17.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today February 9th, 2024 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED682.0275688.8102685.418909-Feb-24
2ATS160.7427162.167161.454909-Feb-24
3AUD1626.71491643.4881635.101409-Feb-24
4BEF54.830955.316355.073609-Feb-24
5BIF0.87350.88150.877509-Feb-24
6BWP182.3604184.943183.651709-Feb-24
7CAD1857.99621876.4371867.216609-Feb-24
8CHF2865.74822893.08182879.41509-Feb-24
9CNY348.0983351.5354349.816909-Feb-24
10CUC104.3729105.4167104.894809-Feb-24
11DEM1003.70661140.92451072.315509-Feb-24
12DKK361.496365.0899363.29309-Feb-24
13DZD18.671618.791718.731709-Feb-24
14ESP13.293813.411113.352409-Feb-24
15EUR2694.82572722.282708.552909-Feb-24
16FIM372.0076375.3041373.655909-Feb-24
17FRF337.199340.1818338.690409-Feb-24
18GBP3155.98713188.5593172.273109-Feb-24
19HKD320.2893323.488321.888709-Feb-24
20INR30.193230.47530.334109-Feb-24
21IQD1.91361.92981.921709-Feb-24
22IRR0.05960.06020.059909-Feb-24
23ITL1.14231.15251.147409-Feb-24
24JPY16.800516.962816.881609-Feb-24
25KES15.70515.763215.734109-Feb-24
26KRW1.88221.90041.891309-Feb-24
27KWD8134.27678210.28728172.281909-Feb-24
28MWK1.38271.48821.435409-Feb-24
29MYR525.5876530.0649527.826309-Feb-24
30MZM38.884739.212639.048709-Feb-24
31NAD132.1734133.4459132.809609-Feb-24
32NGN1.73471.74961.742109-Feb-24
33NLG1003.70661012.60761008.157109-Feb-24
34NOK236.1757238.4745237.325109-Feb-24
35NZD1525.51491541.7821533.648409-Feb-24
36PKR8.53649.03648.786409-Feb-24
37QAR687.2292693.5307690.3809-Feb-24
38RWF1.95722.00341.980309-Feb-24
39SAR668.0759674.5408671.308309-Feb-24
40SDR3322.21553355.43773338.826609-Feb-24
41SEK239.248241.5828240.415409-Feb-24
42SGD1860.61841878.52691869.572609-Feb-24
43TRY81.975282.607482.291309-Feb-24
44UGX0.62790.6580.642909-Feb-24
45USD2504.950525302517.475209-Feb-24
46GOLD5073025.742651290695101047.371309-Feb-24
47ZAR132.1699133.4536132.811809-Feb-24
48ZMK90.327293.877692.102409-Feb-24
49ZWD0.46880.47820.473509-Feb-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news