Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 11,2024

WAZIRI Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia, akiwa anapatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.Mfahamu kwa kina Edward Ngoyai Lowassa hapa》》》

''Amefariki leo (Februari 10,2024) akipatiwa matibabu kwa ugonjwa wa kujikunja utumbo, matatizo ya mapafu na shinikizo la damu. Hayati Ngoiyai Lowassa ameugua kwa muda mrefu na amekuwa akipatiwa matibabu tangu tarehe 14 mwezi Januari mwaka 2022,"alisema Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Philip Mpango kupitia tangazo fupi alillolitoa katika runinga ya Taifa (TBC).


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news