Rais Dkt.Samia ahudhuria mazishi ya Kitaifa ya hayati Rais Dkt.Hage Geingob

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Michezo wa Uhuru kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tatu wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob Jijini Windhoek tarehe 24 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Michezo wa Uhuru kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tatu wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob Jijini Windhoek tarehe 24 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye shughuli za mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob katika uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek tarehe 24 Februari, 2024. Hayati Rais Geingob alifariki dunia tarehe 04 Februari na anatarajiwa kuzikwa tarehe 25 Februari, 2024 katika Makaburi ya Mashujaa ya Heroes’ Acre Jijini Windhoek.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob tarehe 24 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob tarehe 24 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob tarehe 24 Februari, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news