Waziri Mkuu aongoza kikao cha kikundi kazi cha Kitaifa cha nishati safi ya kupikia


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 9, 2024 akiongoza kikao cha kikundi kazi cha kitaifa cha nishati safi ya kupikia, katika ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma.Kikao hicho pia kimehudhuriwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news