Balozi Kasike ateta na Balozi wa Congo Brazzaville jijini Maputo

MAPUTO-Mheshimiwa Phaustine M. Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Maputo alikutana na Balozi wa Jamhuri ya Kongo (Congo Brazzaville), Mhe. Constant-Serge Bounda tarehe 11 Machi, 2024 kwenye Ofisi za Ubalozi zilizopo Jijini Maputo.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa Machi 12,2024 iliyotolewa na Ofisi ya Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Maputo.
Wakati wa mkutano huo, Viongozi hao wawili walizungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizi mbili pamoja na masuala mengine yanayohusu Ushirikiano wa Kikanda.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news