Fahamu, watumishi Tume ya Madini wana vipaji

DODOMA-Bonanza la michezo la Tume ya Madini linaendelea katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlin jijini Dodoma ambapo michezo mbalimbali inaendelea ikiwa ni pamoja na riadha, kuvuta kamba, mpira wa miguu, kukimbiza kuku n.k.
Mazoezi ya awali yameongozwa na Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Eng. Yahya Samamba.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news