Gavana Tutuba ateta na ujumbe kutoka Wizara ya Madini

DAR ES SALAAM-Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, amekutana na ujumbe wa Wizara ya Madini ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Kheri Mahimbali, katika ofisi ya Benki Kuu jijini Dar es Salaam.
Katika kikao hicho cha tarehe 15 Machi 2024 viongozi hao wamejadiliana kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo na uwekezaji katika sekta ya madini kwa maendeleo ya taifa letu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news