Gavana Tutuba atoa mkono wa pole kwa Rais Dkt.Mwinyi

ZANZIBAR-Leo Machi 5,2024 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Ikulu Migombani kutoka kwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba.
Ni kufuatia kifo cha baba mzazi, Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia Februari 29, 2024 jijini Dar es Salaam na kuzikwa Machi 2 2024, Mangapwani huko Mkoa wa Kaskazini, Unguja.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news