Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 29,2024

DODOMA-Deni la serikali limeongezeka kutoka Sh trilioni 71.31 kwa mwaka 2021 hadi Sh trilioni 82.25 kufikia Juni 30, 2023 sawa na ongezeko la asilimia 15.
Akiwasilisha ripoti ya utendaji kazi wa serikali na mashirika mbalimbali, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema deni hilo linajumuisha deni la ndani ambalo ni Sh trilioni 28.92 na deni la nje Sh Trilioni 53.32.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news