Rais Dkt.Samia afuturisha viongozi na makundi mbalimbali ya kijamii

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Kufuturisha viongozi pamoja na makundi mbalimbali ya Kijamii tarehe 12 Machi, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wauza madafu wakati akiwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Kuftarisha viongozi pamoja na Makundi mbalimbali tarehe 12 Machi, 2024.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko akiwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhe. Dkt. Moses Kusiluka wakati wa Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024
Viongozi mbalimbali waliohudhuria Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Wasanii mbalimbali waliohudhuria Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Wasanii mbalimbali waliohudhuria Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Wageni mbalimbali wakiwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Baadhi ya Waandishi wa Habari Waandamizi pamoja na Wahariri wakiwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Wasanii mbalimbali waliohudhuria Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Abbas Mtemvu wakati wa Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Wageni mbalimbali waliohudhuria Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Baadhi ya Wenza wa viongozi ambao walihudhuria Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.
Wageni mbalimbali waliohudhuria Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Machi, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news