Rais Dkt.Samia atunuku tuzo za The Citizen Rising Woman

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo za The Citizen Rising Woman kwa Taasisi zilizofanya vizuri kwenye kutengeneza mipango ya kuwainua Wanawake kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Machi, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipeana mkono na Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications Limited (MCL) Bakari Machumu mara baada ya mazungumzo ya ana kwa ana wakati wa hafla ya The Citizen Rising Woman iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Machi, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news