Yanayojiri jijini Zanzibar leo kuelekea maziko ya hayati Ali Hassan Mwinyi


Usiku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan aliongoza Viongozi na Wananchi wa Zanzibar kupokea Mwili wa Rais Mstaafu awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume jijini Zanzibar, tazama video hapa chini.
Matukio mbalimbali katika picha kutoka Uwanja wa Amani Zanzibar ambapo viongozi mbalimbali wamewasili kwa ajili ya maziko ya Kitaifa ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili hayati Ali Hassan Mwinyi leo Machi 2, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news