Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 27,2024

𝐒𝐇𝐈𝐍𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀-Watoto watatu wa familia moja mkoani Shinyanga wamefariki dunia usiku wa kumakia Aprili 26,2024 baada ya kuangukiwa na nyumba walimo kuwa wamelala.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kitongoji Cha Miembeni B, Kata ya Mwantini, Masai Senema, inasema kuwa watoto hao ni wa familia ya Ngasa Mataluma.

Amesema kuwa, tukio hilo limetokea baada ya nyumba hiyo waliyokuwa wamelala na mama yao Kashinje Nchembi kuanguka kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.















Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news