Makomandoo wa JWTZ katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano

Askari wa Kikundi Maalum cha Komando cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakionesha Maonesho mbalimbali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024.

Askari wa Kikundi Maalum cha Komando cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akipiga Saluti wakati akipita mbele ya Jukwaa Kuu wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024.
Askari wa Kikundi Maalum cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akishuka kwenye Helikopta kwa ajili ya kwenda kuelezea namna mbalimbali za kwata na mapigano ya mjini wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024.
Askari waliojipatia umaarufu mkubwa kutokana na uvaaji wa Kofia zao za Tarabushi. Onesho lao limefanyika katika kilele cha Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news