PSSSF yaendelea kuhudumia wanachama katika maonesho ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA)

Bi. Odilia Njau (kushoto) kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, akifuatilia taarifa za michango yake katika banda la PSSSF katika maonesho ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) yanayoendelea katika viwanja vya General Tyre, Njiro jijini Arusha. Anayemhudumia ni Venance Mwaijibe wa PSSSF Arusha.
Bi. Rosemary Madeu wa PSSSF akimwelekeza Mwanachama wa PSSSF, Bw. Aloyce Maugo jinsi ya kutumia huduma ya PSSSF Kiganjani wakati wa Maonesho ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA )yanayoendelea katika viwanja vya General Tyre jijini Arusha.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news