Salamu za Eid El Fitr kutoka ofisi,wizara, taasisi, mashirika na wadau mbalimbali nchini

DIRAMAKINI inawatakia Watanzania wote sherehe njema za Eid El Fitr, kila mmoja asherehekee kwa amani huku tukiendelea kuchukua tahadhari kwa familia hususani katika maeneo ya Fukwe na kule ambapo Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetabiri uwepo wa vipindi vya mvua na upepo mkali ili hali hiyo isisababishe maafa kwa watoto na makundi maalum.

























Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news