Uongozi wa Ngumi za Kulipwa wasimamishwa kazi

DAR-Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Dkt.Damas Ndumbaro ameusimamisha Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania kuanzia Mei, 2024 ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili ikiwemo ya matumizi mabaya ya madaraka.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news