Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Aprili 17,2025

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.69 na kuuzwa kwa shilingi 0.73 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Aprili 17,2025 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1915.97 na kuuzwa kwa shilingi 1934.02 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3262.66 na kuuzwa kwa shilingi 3293.27.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2658.41 na kuuzwa kwa shilingi 2685 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8676.86 na kuuzwa kwa shilingi 8746.49.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3521.60 na kuuzwa kwa shilingi 3558.69 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.87 na kuuzwa kwa shilingi 1.91.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today April 17th,2025;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED723.7921730.9703727.381217-Apr-25
2ATS170.5906172.1021171.346417-Apr-25
3AUD1694.74011712.4931703.616517-Apr-25
4BEF58.190158.705258.447717-Apr-25
5BIF0.89790.89050.894217-Apr-25
6CAD1915.97541934.021924.997717-Apr-25
7CHF3262.66063293.26633277.963417-Apr-25
8CNY363.9273367.4659365.696617-Apr-25
9DEM1065.19851210.8231138.010717-Apr-25
10DKK404.6973408.6447406.67117-Apr-25
11ESP14.108214.232714.170517-Apr-25
12EUR3021.28963051.7713036.530317-Apr-25
13FIM394.7986398.297396.547817-Apr-25
14FRF357.8575361.023359.440217-Apr-25
15GBP3521.60353558.6993540.151217-Apr-25
16HKD342.4779345.8492344.163517-Apr-25
17INR31.067131.357731.212417-Apr-25
18ITL1.21231.22311.217717-Apr-25
19JPY18.651618.831518.741617-Apr-25
20KES20.536220.661820.59917-Apr-25
21KRW1.87771.8951.886317-Apr-25
22KWD8676.85838746.49818711.678217-Apr-25
23MWK1.42441.5341.479217-Apr-25
24MYR603.0889608.4296605.759317-Apr-25
25MZM41.266941.61541.44117-Apr-25
26NLG1065.19851074.64481069.921617-Apr-25
27NOK251.0521253.4214252.236817-Apr-25
28NZD1570.85791587.3721579.11517-Apr-25
29PKR9.00689.57229.289517-Apr-25
30RWF1.87391.91551.894717-Apr-25
31SAR708.4764715.523711.999717-Apr-25
32SDR3601.43573637.45013619.442917-Apr-25
33SEK271.508274.0859272.796917-Apr-25
34SGD2025.30542044.31252034.808917-Apr-25
35UGX0.69730.73160.714417-Apr-25
36USD2658.415826852671.707917-Apr-25
37GOLD8806241.7338896747.58851494.61617-Apr-25
38ZAR141.2256142.5719141.898717-Apr-25
39ZMW90.84694.425992.635917-Apr-25
40ZWD0.49750.50750.502517-Apr-25

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news