Magazeti leo Aprili 30,2025

Mtoto alikojoa kitandani kila usiku,lakini...

SIKUWAHI kufikiria kwamba siku moja ningelazimika kusimulia hadithi ya namna hii. Mimi ni mama wa mtoto mmoja, Kelvin, mwenye umri wa miaka saba. Kwa muda mrefu, nilihangaika kumsaidia kuondokana na tabia ya kukojoa kitandani.

Nilijipa moyo kuwa ni hali ya kawaida kwa watoto wengine kuchelewa kukomaa, na nilijitahidi kuwa mvumilivu, nikiamini kwamba muda ukifika kila kitu kingeenda sawa.
Lakini siku moja, kitu ndani yangu kiliniambia kuwa huenda kuna zaidi ya kile nilichokiona. Kelvin alikuwa na hofu isiyoelezeka kila ilipofika usiku. 

Mara nyingine alikuwa akitetemeka hata bila sababu, na mara nyingine alikuwa analia usingizini. Nilihisi kuna kitu hakikuwa sawa, lakini sikujua ni nini.

Usiku mmoja niliamua kulala kwenye chumba chake, nikijifanya kwamba nataka kumsindikiza kulala. Lakini ukweli ni kwamba...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news