MAPUTO-Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji ambaye pia anaziwakilisha Madagascar na Eswatini, Mheshimiwa CP Hamad Khamis Hamad amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Daniel Francisco Chapo, Rais wa Jamhuri ya Msumbiji tarehe 02 Mei 2025, jijini Maputo.