DAR-Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa ofa maalum ya kurudishiwa huduma ya maji bila faini ambayo itaendelea hadi Mei 30, 2025.
Kwa mujibu wa DAWASA ukilipa muda huu unarudishiwa huduma bure na utaendelea kufurahia huduma za maji safi na salama.

