Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akiwasili kufungua Kikao cha Faragha kwa cha Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika mkoani Morogoro. Wa kwanza kushoto ni Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua Kikao cha faragha kwa viongozi hao kilichofanyika mkoani Morogoro.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akichangia mada kuhusu Mpango na Bajeti wakati wa Kikao cha Faragha kwa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika mkoani Morogoro.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akizungumza na Menejimenti wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa Kikao cha Faragha kilichofanyika mkoani Morogoro.
Mtaalamu wa Mipango na Bajeti ndugu Peter Sobe akitoa mada kuhusu Mipango na Bajeti kwa Wajumbe wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa Kikao cha Faragha kilichofanyika Morogoro.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Camilius Ruhinda akizungumza wakati Kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika Morogoro.Baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi wakati akifungua Kikao cha Faragha kwa wajumbe hao kilichofanyika Morogoro.
Tags
Dkt.Ally Possi
Habari
Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Wakili Mkuu wa Serikali










