Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 15,2025

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.70 na kuuzwa kwa shilingi 0.74 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 15,2025 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1909.02 na kuuzwa kwa shilingi 1916.33 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3193.65 na kuuzwa kwa shilingi 3224.05.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2672.13 na kuuzwa kwa shilingi 2698.85 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8694.67 na kuuzwa kwa shilingi 8778.46.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shiling 3557.27 na kuuzwa kwa shilingi 3596.22 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.88 na kuuzwa kwa shilingi 1.92.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 15th,2025;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED727.585734.7008731.142915-May-25
2ATS171.4706172.9899172.230215-May-25
3AUD1727.2641745.34631736.305115-May-25
4BEF58.490359.00858.749215-May-25
5BIF0.90110.89510.898115-May-25
6CAD1916.32871935.21441925.771515-May-25
7CHF3193.65213224.04733208.849715-May-25
8CNY370.8663374.5022372.684215-May-25
9DEM1070.69311217.06881143.880915-May-25
10DKK402.1807406.1842404.182415-May-25
11ESP14.18114.306114.243615-May-25
12EUR2999.99893030.26883015.133815-May-25
13FIM396.8351400.3516398.593315-May-25
14FRF359.7034362.8852361.294315-May-25
15GBP3559.27543596.21763577.746515-May-25
16HKD342.405345.7803344.092715-May-25
17INR31.284131.576631.430315-May-25
18ITL1.21861.22941.22415-May-25
19JPY18.293518.475218.384315-May-25
20KES20.714220.840520.777415-May-25
21KRW1.91241.92971.92115-May-25
22KWD8694.37348778.46088736.417115-May-25
23MWK1.43181.54131.486515-May-25
24MYR623.6006628.3702625.985415-May-25
25MZM41.479841.829741.654715-May-25
26NLG1070.69311080.18811075.440615-May-25
27NOK258.7567260.9728259.864715-May-25
28NZD1587.24451603.92661595.585515-May-25
29PKR9.01629.57899.297615-May-25
30RWF1.87851.92021.899415-May-25
31SAR712.4347719.5206715.977715-May-25
32SDR3609.32643645.41973627.37315-May-25
33SEK276.1833278.6456277.414515-May-25
34SGD2059.12672078.27662068.701715-May-25
35UGX0.70320.73780.720515-May-25
36USD2672.12872698.852685.489415-May-25
37GOLD8522460.5968609601.3858566030.9915-May-25
38ZAR146.1697147.5685146.869115-May-25
39ZMW97.4423101.270299.356215-May-25
40ZWD0.50.51010.505115-May-25

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news