Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 29,2025

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2672.40 na kuuzwa kwa shilingi 2699.13 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8709.73 na kuuzwa kwa shilingi 8792.51.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 29,2025 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shiling 3595.19 na kuuzwa kwa shilingi 3632.22 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.88 na kuuzwa kwa shilingi 1.92.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.70 na kuuzwa kwa shilingi 0.74 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1931.77 na kuuzwa kwa shilingi 1950.80 huku Fraka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3227.15 na kuuzwa kwa shilingi 3257.85.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 29th,2025;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED727.6605734.777731.218829-May-25
2ATS171.4884173.0078172.248129-May-25
3AUD1713.54671730.95211722.249429-May-25
4BEF58.496459.014158.755329-May-25
5BIF0.90050.89520.897929-May-25
6CAD1931.76661950.80231941.284429-May-25
7CHF3227.15373257.85153242.502629-May-25
8CNY371.4254375.0823373.253929-May-25
9DEM1070.80421217.1951143.999629-May-25
10DKK405.0143408.9963407.005329-May-25
11ESP14.182514.307614.24529-May-25
12EUR3019.81873050.55673035.187729-May-25
13FIM396.8763400.3931398.634729-May-25
14FRF359.7407362.9229361.331829-May-25
15GBP3595.18773632.21923613.703529-May-25
16HKD340.9464344.3515342.648929-May-25
17INR31.295431.58831.441729-May-25
18ITL1.21871.22951.224129-May-25
19JPY18.440618.619818.530229-May-25
20KES20.716320.842720.779529-May-25
21KRW1.94371.96141.952629-May-25
22KWD8709.72838782.51398746.121129-May-25
23MWK1.43191.54211.48729-May-25
24MYR633.2715638.0922635.681929-May-25
25MZM41.484141.83441.659129-May-25
26NLG1070.80421080.30021075.552229-May-25
27NOK262.82265.0676263.943829-May-25
28NZD1589.01261605.71241597.362529-May-25
29PKR8.99519.52889.26229-May-25
30RWF1.87891.92071.899829-May-25
31SAR712.4896719.5761716.032829-May-25
32SDR3625.68083661.93763643.809229-May-25
33SEK277.3356280.0276278.681629-May-25
34SGD2071.95372091.86242081.908129-May-25
35UGX0.70520.73990.722529-May-25
36USD2672.40592699.132685.76829-May-25
37GOLD8823990.4518914146.7388869068.59529-May-25
38ZAR148.966150.3886149.677329-May-25
39ZMW97.8201101.662199.741129-May-25
40ZWD0.50010.51020.505129-May-25

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news