Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 30,2025

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1935.4 na kuuzwa kwa shilingi 1954.33 huku Fraka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3242.18 na kuuzwa kwa shilingi 3274.21.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 30,2025 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2672.21 na kuuzwa kwa shilingi 2698.93 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8707.66 na kuuzwa kwa shilingi 8791.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shiling 3604.01 na kuuzwa kwa shilingi 3641.13 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.88 na kuuzwa kwa shilingi 1.92.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.70 na kuuzwa kwa shilingi 0.74 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 30th,2025;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED727.65734.72731.1830-May-25
2ATS171.48173172.2430-May-25
3AUD1721.171739.191730.1830-May-25
4BEF58.4959.0158.7530-May-25
5BIF0.90040.89520.897830-May-25
6CAD1935.41954.331944.8730-May-25
7CHF3242.183274.213258.230-May-25
8CNY371.87375.53373.730-May-25
9DEM1070.721217.11143.9130-May-25
10DKK406.41410.45408.4330-May-25
11ESP14.181414.306514.24430-May-25
12EUR3031.093061.673046.3830-May-25
13FIM396.85400.36398.6130-May-25
14FRF359.71362.9361.3130-May-25
15GBP3604.013641.133622.5730-May-25
16HKD340.88344.28342.5830-May-25
17INR31.2931.5931.4430-May-25
18ITL1.21861.22941.22430-May-25
19JPY18.5118.6918.630-May-25
20KES20.7120.8420.7830-May-25
21KRW1.94981.96751.958630-May-25
22KWD8707.668791.888749.7730-May-25
23MWK1.43181.5421.4930-May-25
24MYR630.24635.34632.7930-May-25
25MZM41.844842.197242.02130-May-25
26NLG1070.721080.221075.4730-May-25
27NOK263.38265.92264.6530-May-25
28NZD1596.641613.421605.0330-May-25
29PKR9.019.579.2930-May-25
30RWF1.881.921.930-May-25
31SAR712.34719.39715.8730-May-25
32SDR3620.073656.273638.1730-May-25
33SEK278.91281.63280.2730-May-25
34SGD2075.822096.422086.1230-May-25
35UGX0.70670.74150.724130-May-25
36USD2672.212698.932685.5730-May-25
37GOLD8851314.638941393.158896353.8930-May-25
38ZAR150.02151.44150.7330-May-25
39ZMW97.776101.616399.696230-May-25
40ZWD0.50010.51020.505130-May-25

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news