DAR-Uongozi wa Klabu ya Yanga umesikitishwa na umelaani vikali vitendo vya mashabiki wao kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika uliochezwa Tarehe 25/5/2025 katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.

