DODOMA-Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amesema Serikali imeamua kuanzisha mfumo wa kulipia huduma ya maji kwa njia ya Prepaid ili kupunguza malalamiko ya wananchi kuhusu bili zisizoeleweka wanazotozwa kwa huduma hiyo.
Akizungumza bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2025/2026, Waziri Aweso amesema kuwa mfumo huo utamwezesha mwananchi kulipa maji kulingana na matumizi halisi, badala ya makadirio yasiyo sahihi.










Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo