HomeHabari Tala’ea El Gaish yagawana alama dhidi ya Modern Sports FC CAIRO-Nyota wa Tanzania Himid Mao na klabu yake ya Tala’ea El Gaish wamepata alama moja wakitoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Modern Sports FC kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Misri. Tags Habari Picha Picha Chaguo la Mhariri Facebook Twitter