Ziara ya Benny Mwaipaja katika jengo jipya la ofisi za Wizara ya Fedha jijini Dodoma

DODOMA-Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini katika Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja ametembelea jengo jipya la ofisi za Wizara ya Fedha lililopo Mji wa Serikali-Mtumba mkoani Dodoma.
Katika ziara hiyo,msimamizi wa ujenzi upande wa Mkandarasi, Bw. Govind Vaghjiyani, alimtembeza katika ofisi mbalimbali za viongozi,wakuu wa idara na vitengo na kujionea kazi kubwa iliyofikiwa katika ujenzi wa jengo hilo ambalo ni “State of the Art”.
Aidha,kukamilika kwake litakuwa miongoni mwa majengo yatakayopendezesha mandhari ya Mji huo wa Serikali maarufu kama Mji wa Magufuli.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news