Duh! wezi wajikuta wakipeleka gari la wizi kituo cha Polisi

MIKASA ya wizi wa magari imekuwa ikiripotiwa kwa wingi katika maeneo mbalimbali humu nchini Kenya, kila wiki ningeweza kusikia habari kwenye chombo cha habari kisa kimoja au viwili vikiripotiwa kuhusu wizi wa gari, jambo ambalo sikuchukulia kwa umakini, kwani nilidhani ni uongo tu.

Ni hivi majuzi ambapo niliweza kukumbana na wizi huo moja kwa moja baada ya gari laungu aina ya Harrier kuibwa katikati mwa jiji la Nairobi.
Visa vingi huripotiwa kwenye vituo mbalimbali vya Polisi bila kuzaa matunda, kwani Polisi hutoa ahadi yakwamba wangewanasa wezi wa magari hayo lakini kufikia sasa hakuna mtu yeyote ashawahi naswa na kushtakiwa.

Ni majuzi tu moja wa rafiki yangu aliweza kupokonya gari lake na majambazi waliokua wamejihami kwa bunduki, katika barabara kuu ya...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news