Duh! wezi wajikuta wakipeleka gari la wizi kituo cha Polisi
MIKASA ya wizi wa magari imekuwa ikiripotiwa kwa wingi katika maeneo mbalimbali humu nchini Kenya, kila wiki ningeweza kusikia habari kwenye chombo cha habari kisa kimoja au viwili vikiripotiwa kuhusu wizi wa gari, jambo ambalo sikuchukulia kwa umakini, kwani nilidhani ni uongo tu.
Ni hivi majuzi ambapo niliweza kukumbana na wizi huo moja kwa moja baada ya gari laungu aina ya Harrier kuibwa katikati mwa jiji la Nairobi.

Visa vingi huripotiwa kwenye vituo mbalimbali vya Polisi bila kuzaa matunda, kwani Polisi hutoa ahadi yakwamba wangewanasa wezi wa magari hayo, lakini kufikia sasa hakuna mtu yeyote ashawahi naswa na kushtakiwa.
Ni majuzi tu moja wa rafiki yangu aliweza kupokonya gari lake na majambazi waliokua wamejihami kwa bunduki, katika barabara kuu ya...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo