Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 2,2025

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.70 na kuuzwa kwa shilingi 0.74 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 2,2025 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1936.29 na kuuzwa kwa shilingi 1955.23 huku Fraka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3243.53 na kuuzwa kwa shilingi 3273.98.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2670.72 na kuuzwa kwa shilingi 2698.43 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8709.35 na kuuzwa kwa shilingi 8732.28.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shiling 3695.06 na kuuzwa kwa shilingi 3631.28 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.88 na kuuzwa kwa shilingi 1.92.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June 2nd,2025;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED727.2022734.2743730.738202-Jun-25
2ATS171.3803172.8989172.139602-Jun-25
3AUD1712.20041729.86191721.031102-Jun-25
4BEF58.459558.97758.718202-Jun-25
5BIF0.89990.89470.897302-Jun-25
6CAD1936.28851955.22621945.757302-Jun-25
7CHF3243.53023273.97743258.753802-Jun-25
8CNY370.9337374.565372.749402-Jun-25
9DEM1070.12971216.42841143.279102-Jun-25
10DKK405.4105409.4273407.418902-Jun-25
11ESP14.173614.298614.236102-Jun-25
12EUR3023.79233054.83953039.315902-Jun-25
13FIM396.6263400.1409398.383602-Jun-25
14FRF359.5142362.6943361.104202-Jun-25
15GBP3595.05993631.28033613.170102-Jun-25
16HKD340.5448343.9108342.227802-Jun-25
17INR31.227831.519831.373802-Jun-25
18ITL1.21791.22871.223302-Jun-25
19JPY18.54818.72718.637502-Jun-25
20KES20.703320.845720.774502-Jun-25
21KRW1.93321.95071.94202-Jun-25
22KWD8709.35198782.1268745.73902-Jun-25
23MWK1.4311.54111.486102-Jun-25
24MYR627.9621633.1995630.580802-Jun-25
25MZM41.445141.794741.619902-Jun-25
26NLG1070.12971079.61981074.874802-Jun-25
27NOK261.8818264.3917263.136702-Jun-25
28NZD1589.081605.78011597.430102-Jun-25
29PKR9.00679.55699.281802-Jun-25
30RWF1.86241.91881.890602-Jun-25
31SAR712.0978718.778715.437902-Jun-25
32SDR3623.39723659.63123641.514202-Jun-25
33SEK277.9947280.6841279.339402-Jun-25
34SGD2069.04462088.60242078.823502-Jun-25
35UGX0.70590.74060.723302-Jun-25
36USD2670.72282697.432684.076402-Jun-25
37GOLD8775808.0798864941.8498820374.96402-Jun-25
38ZAR148.6171150.0732149.345102-Jun-25
39ZMW97.391101.216999.30402-Jun-25
40ZWD0.49980.50990.504802-Jun-25

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news