TULIISHI pamoja na mume wangu Sam katika mji wa Arusha ambapo nilifanya kazi ya udaktari katika hospitali moja ya kibinafsi katika jiji lile. Mume wangu naye alifanya kazi ya uhandisi katika Wizara ya Ujenzi kwenye mkoa huo.
Maisha yetu yalikuwa ya kutamaniwa kwani hakuna wakati hata moja tuligombana na mume wangu kwani hali ilikiwa shwari kabisa.

Wakati mwingine nilimpa mume wangu hata pesa za matumizi na yeye pia alinipa pesa kidogo kutoka kwenye mshahara wake. Hali ilikuwa ni nzuri zaidi, kwani upendo ulikuwa umetufikisha pazuri.
Siku moja nilienda ofisini na nikakumbana na barua fulani kwenye meza yangu. Niliifungua na kuisoma na hapo nikakumbana na ujumbe kwamba hospitali ile ilikuwa ishanionyesha mlango wa kutokea na nilitakiwa nifuate masharti yale kabla siku haijhakamilika...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo