Bosi apandwa na hasira kisa kukataliwa na mfanyakazi wake
JINA langu ni Wini, naweza kusema kuwa itanichukua miaka mingi sana kuja kusahau kitendo cha Bosi wangu niliyekuwa namuheshimu sana alipoaniambia ili kupanda cheo kazini basi ni lazima nilale naye angalau mara mbili.

Nilikataa mara moja,kwani uwezo wa kazi ninao mzuri na isitoshe nimesoma vizuri na vyeti vya kitaaluma ninavyo. Nikajisema kimoyo moyo kama vipi nitaacha hii kazi akiendelea kunisumbua kuhusu jambo hilo.
Baada ya kumkatalia Bosi, haukuisha mwezi rafiki yangu wa kike ambaye alinikuta kazini nikiwa na miaka miwili aliweza kupandishwa cheo pamoja na mshahara huku mimi nikisalia mtupu.
Nilijua fika ni hasira za Bosi dhidi yangu na asingeza kunifukuza kutokana na...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo















