NDOA hukumbwa na changamoto mbalimbali ambazo hutokea bila ya wanandoa kujua au kuwa kinyume na matarajio yao, katika mila na desturi za kiafrika kupata mtoto huwa ni ishara kwamba ndoa imekamilika.
Mtu anapokosa mtoto katika mila zetu huwa ishara kwamba hawezi kuheshimiwa kabisa kulingana na makabila mengi hapa Afrika.
Nilikuwa katika ndoa na mume wangu, Barack ambaye tuliishi kwa amani na hakuna lolote liloonekana kwamba lingetutenganisha kwa wakati wowote ule.

Siku zilisonga na ndugu wa mume wangu walianza kejeli, tulikuwa tukiishi na mume wangu nyumbani kwao na hivyo ndugu wake walikuwa karibu nasi kila wakati. Mara mama mkwe alianza kila mara ugomvi nami huku akifoka kwamba hakutaka kukaa na wanawake tasa.
Ama kwa hakika nilifahamu huu ulikuwa ni uchokozi ambao mama mkwe wangu aliniletea, mara nyingi nilimsikia...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo