


















NDOA ama mahusiano bila mapenzi huwa hayaendi,kwani tendo hilo huwa kiini cha umoja na mshikamano. Wapenzi kwenye mahusiano hupaswa kuwajibika na kuelewana kwa wakati wowote ili kuwezesha mahusiano kuwa yenye matamanio.
Tulikuwa tumefunga ndoa na mume wangu ambapo mwaka mmoja ulikuwa umepita sasa tangu kufunga harusi, kwa hakika maisha yalikuwa mazuri kwani Ben ambaye ndiye mume wangu alikuwa mwenye mapenzi na mtu ambaye alikuwa mchangamfu katika kila hali. Katika siku zetu za kuchumbiana alikuwa ni mtu ambaye alikuwa na mapenzi si haba.

Maneno matamu aliyoniambia yalikuwa ama kwa hakika yananizingua pakubwa. Nami sikuachwa nyuma, kwani kila ushikwapo shikamana. Nilimwonyesha mapenzi kama vile kumvisha mavazi na hata wakati mwingine tulienda bafuni kukoga kwa pamoja.
Hali hii ilianza kubadilika ambapo mume wangu alianza pole pole kuwa mwenye dharau nisijue ni lipi ambalo sikufanya kwa matumaini yake.
Kando na hapo awali, alianza kuja nyumbani akiwa amenuna na hata wakati mwingine ilinichukua...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo