Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Dk. Tulia Ackson Juni 28, 2025, amechukua na kurudisha fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo jipya la Uyole kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hatua hiyo imefanyika katika Ofisi za CCM Wilaya ya Mbeya Mjini, ambapo Dk. Tulia ameonyesha dhamira ya kuendelea kuwatumikia wananchi wa Mbeya kwa nafasi mpya ya kisiasa.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo